• Maonesho ya 6 ya kimataifa ya madini ya vito Mjini Arusha kuanzia tarehe 3-5 Mei, 2017

    Maonesho ya 6 ya kimataifa ya madini ya vito Mjini Arusha kuanzia tarehe 3-5 Mei, 2017

     
  • Waziri Muhongo azindua bodi mpya REA

    Waziri Muhongo azindua bodi mpya REA

    AIAGIZA KUSIMAMIA MASLAHI YA WATANZANIA Wakandarasi wadogo wa umeme wawe watanzania Nguzo, Transfoma, Nyaya zinunuliwe nchini Walioshindwa REA II wasichukuliwe REA III Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, amezindua Bodi mpya ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kuiagiza kufanya kazi kwa kutanguliza maslahi ya Taifa na Watanzania […]

     
  • Mpango wa Nishati endelevu kwa wote (SE4ALL) kuanza kutekelezwa

    Mpango wa Nishati endelevu kwa wote (SE4ALL) kuanza kutekelezwa

    Utekelezaji wa Mpango Endelevu wa miaka mitano 2017-2022 wa Nishati Endelevu kwa Wote (SE4All) unatarajiwa  kuanza hivi karibuni baada ya kamati inayohusika na mpango huo kukaa ili kujadili na kupitisha mikakati ya utekelezaji wa mpango huo. Haya yamebainika tarehe 12 April, 2017 wakati kamati hiyo iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa nishati […]

     
  • Baraza la wafanyakazi: Waziri Muhongo aagiza kikao kikubwa cha wataalam

    Baraza la wafanyakazi: Waziri Muhongo aagiza kikao kikubwa cha wataalam

    Watajadili maeneo mapya ya uwekezaji sekta ya madini Ataka sekta za nishati, madini kuchangia ipasavyo uchumi wa viwanda Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amefungua Baraza la Wafanyakazi wa Wizara na kuiagiza Idara ya Madini kuandaa Mkutano mkubwa wa wataalam, Julai mosi mwaka huu, kujadili maeneo mapya ya […]

     
  • Profesa Muhongo akutana na wenye nia kuwekeza sekta ya nishati nchini

    Profesa Muhongo akutana na wenye nia kuwekeza sekta ya nishati nchini

    Wawekezaji mbalimbali wamemtembelea Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ofisini kwake mjini Dodoma na kumweleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi mbalimbali katika sekta ya nishati nchini. Akizungumza na Waziri Muhongo, mwakilishi wa Kampuni ya L&T ya India, Sanjay Gupta aliwasilisha nia ya Kampuni hiyo ya kujenga njia […]

     
  • Kampuni ya jumeme wakutana na Waziri Muhongo

    Kampuni ya jumeme wakutana na Waziri Muhongo

    Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekutana na ujumbe kutoka kampuni ya JUMEME inayojishughulisha na uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati ya jua. Ujumbe huo ulijumuisha baadhi ya wakurugenzi wa kampuni ya JUMEME ambao ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT), Padre Dk. Thadeus […]

     
  • Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Kamati ya ulinzi watemebelea eneo la mradi wa bomba Chongoleani

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Kamati ya ulinzi watemebelea eneo la mradi wa bomba Chongoleani

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na Uongozi wa Mkoa ikiwemo Kamati ya Ulinzi na Usalama tarehe 5 Aprili, 2017, walitembelea Chongoleani eneo itakapojengwa gati ya kupakua mafuta ya Mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga. Lengo la ziara hiyo ilikuwa […]

     
  • Hivi ndivyo wasemavyo viongozi Shinyanga kuhusu REA III

    Hivi ndivyo wasemavyo viongozi Shinyanga kuhusu REA III

    Hivi karibuni, Aprili 2 2017, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani, alizindua Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) kwa Mkoa wa Shinyanga. Uzinduzi huo uliofanyika katika Kijiji cha Negezi, Wilaya ya Kishapu mkoani humo, ulihudhuriwa na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa […]